
Célestin Ecua atuma salamu nzito
SAA chache baada ya Célestin Ecua kutambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga, mwenyewe ameibuka na kutuma ujumbe wenye ahadi ya kufanya vizuri zaidi kuipa mafanikio klabu hiyo ambayo msimu uliopita ilibeba mataji matano ambao ni Kombe la Toyota, Ngao ya Jamii, Kombe la Muungano, Ligi Kuu Bara na Kombe la FA. …