BEKI wa kati wa Fountain Gate, Laurian Omar Makame aliyekuwa anawindwa na Yanga kisha dili hilo kushindikana, kwa sasa yupo katika hatua nzuri kujiunga na maafande wa JKT Tanzania, baada ya kufanyika kwa mazungumzo ya pande zote mbili.
Aliyewindwa Yanga kuibukia JKT Tanzania
