
August 4, 2025


Huko Yanga bado mmoja tu!
YANGA imeshaanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-26 na jana Jumapili mazoezi ya timu hiyo yalisitishwa kidogo kisha kufanyika kikao kizito kati ya mabosi wa klabu hiyo na mastaa wa timu hiyo huku mashine moja tu ikikosekana ukiacha wale walioko timu ya Taifa. …

Mido Mkenya, Sowah wainogesha kambi
KIKOSI cha Simba leo Jumatatu kinaingia siku ya tano kikiwa kambini katika jiji la Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya na kikosi hicho kimepokea kundi lingine la wageni na wenyeji wakiwa huko na kuna mashine mbili mpya zilizoongeza mzuka. Msafara wa kwanza wa…