
Uganda yaingia anga zile zile za Ivory Coast
KIPIGO cha mabao 3-0 ilichopewa Uganda The Cranes kutoka kwa Algeria katika mechi ya kwanza ya Fainali za CHAN 2024 jana usiku imeifanya timu hiyo kuingia anga za Ivory Coast. Ivory Coast ikiwa wenyeji wa fainali za kwanza za CHAN 2009 ilikumbana na kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Zambia yaliyofungwa na Given Singuluma akiwa…