Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Dokta Abdulaziz Abood ameshinda kwa kishindo Uchaguzi wa kura za maoni Jimbo la Morogoro Mjini kwa kupata kura 4511 huku Mpizani wake wa karibu Ally Simba akiambulia kura 1886.
Wagombea wengine waliopata Robert Kadikilo kura 131,Bupe Kamugisha kura 60 Tekla Mbiki kura 46,Halfan Makila kura 28 na Tito Mlelwa kura 13 huku jumla ha kura zilizopigwa 6485 na kura zilizoharibika ni 84