
August 7, 2025


Inakabiliwa na hatari zinazoongezeka, mataifa yaliyofungiwa huzindua muungano wa hali ya hewa katika Mkutano wa UN – Maswala ya Ulimwenguni
Kufanya kazi ndani ya Mkutano wa Mfumo wa UN juu ya Mabadiliko ya Tabianchi (Unfccc), Kikundi kinakusudia kukuza sauti zao katika mazungumzo ya hali ya hewa ya ulimwengu, ambapo udhaifu wao tofauti umepuuzwa kwa muda mrefu. Hatari za hali ya hewa Ingawa LldcAka akaunti takriban asilimia 12 ya ardhi ya ulimwengu, wamepata karibu asilimia 20…

CHUO CHA TAIFA CHA HALI YA HEWA CHASHAURIWA KUJITANGAZA ZAIDI
::::::;;; Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkalama Singida Happyness J Sulle ameshauri uongozi wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa www.nmtc.ac.tz kuongeza wigo wa kujitangaza na kufikiria hitaji la kuongeza kampasi katika maeneo ya mikoa mingine ili kuweza kuwafikia wahitaji wengi zaidi katika taaluma ya masuala ya hali ya hewa. Hayo yamezungumzwa leo alipotembelea…

UNICEF NA TET KUENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA KUBORESHA ELIMU NCHINI
:::::::::: Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la kulinda na kutetea haki za watoto (UNICEF) kuendelea kushirikiana katika kuboresha Sekta ya Elimu nchini hasa katika eneo la mafunzo endelevu kwa walimu kazini (MEWAKA) na maktaba mtandao. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TET Dkt. Aneth Komba leo Agosti 7, 2025…

Wanawake wa Afghanistan wanarudi wanakabiliwa na hatari zinazoongezeka, UN unaonya – maswala ya ulimwengu
Wanawake wa UN – Ambayo Mabingwa Uwezeshaji wa Jinsia na Usawa – kando na Shirika la Kimataifa la Wakala wa Kibinadamu na Washirika, walitoa wito huo katika ripoti iliyochapishwa Alhamisi ambayo pia inaangazia changamoto muhimu na mahitaji ya wafanyikazi wa misaada ya wanawake kusaidia waliorudi. Tahadhari ya jinsia Inakuja wakati wa kuongezeka kwa kurudi kwa…

VAR yaiokoa Kenya kwa Angola, yabaki kileleni
KENYA imenusurika kupoteza mechi ya kwanza nyumbani ikilazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Angola kwenye mchezo wa pili wa Kundi B wa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). Mchezo huo ambao umepigwa Uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi umeshuhudia Angola wakiwa wa kwanza kupata bao mfungaji akiwa Joaquim Christovao Paciencia katika…

VYAMA SIASA WAKUTANA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KIBAHA VIJIJINI.
…………… Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Octoba 29 Mwaka huu ,Viongozi wa vya Siasa walioko Jimbo la Uchaguzi Vijijini wakutana kujadili Ratiba ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. kikao hicho kimehudhuriwa na Viongozi wa vyama vya Siasa, Viongozi wa dini na Vyombo vya ulinzi na Usalama. Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Kikao hicho ni pamoja na…

UCHAMBUZI WA MJEMA: Chuki hizi mitandaoni zinatuma ujumbe gani kama taifa?
Ninahuzunishwa na kusikitishwa sana na kile kinachoendelea katika mitandao ya Kijamii hapa Tanzania kwa baadhi ya Watanzania kufurahia madhila yanayowapata wenzetu ikiwamo kifo, jambo ambalo tunapaswa kulitafakari kama taifa. Haya yanayoendelea mitandaoni siyo ya kupuuza hata kidogo kwa sababu huko ndiko mijadala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi imehamia na tusisahau kuwa huko ndiko Watanzania walio…

VIPIMO SAHIHI KUINUA KILIMO NA BIASHARA, SERIKALI YASISITIZA UFUATILIAJI
Farida Mangube, Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema matumizi ya vipimo sahihi ni msingi muhimu wa maendeleo kwa mkulima, mfanyabiashara na Mtanzania kwa ujumla, akisisitiza kuwa Serikali haitaendelea kuvumilia vitendo vya udanganyifu kupitia mizani zisizo sahihi. Akizungumza katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Mashariki yanayofanyika katika Uwanja wa Maonesho…

RAS PWANI APONGEZA NARCO KWA KAZI BORA YA UFUGAJI WA KISASA NA UZALISHAJI WA NYAMA BORA NCHINI
Farida Mangube, Morogoro Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Bi Pili Mnyema, ameitka Kampuni ya Ranchi za Taifa NARCO kushirikiana na wafugaji wadogo kwa kuwapatia elimu, mbegu bora za mifugo, na kuwahusisha katika mnyororo wa thamani wa mifugo ili kukuza mazao ya mifugo na kuchochea uchumi wa ndani na kutoa ajira kwa vijana. Bi Mnyema…