LEO hii wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa suka jamvi lako la kibabe hapa ujiweke kwenye nafasi ya wale ambao wataondoka na mshindo wa maana. Jisajili na ubashiri hapa.
Tukianza na mechi ya Fredrikstad FK dhidi ya FC Midtjylland ya kule Denmark pale Meridianbet imepewa ODDS 3.90 kwa 1.88. Mwenyeji yeye anakipiga kule Norway huku leo hii ndio anayepewa nafasi kubwa ya kushinda. Hii ni mechi ya mkondo wa kwanza ambapo kila timu inataka kuanza vizuri. Mara ya mwisho kukutana, mwenyeji alishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi?. Bashiri hapa.
Vilevile mtanange mwingine wa kubashiri ni huu wa Lincolin Red Imps vs FC Noah Yerevan huku kukiwa hakuna takwimu zinazoenesha kuwa hawa wawili waliwahi kukutana. Kupiga pesa mechi hii sasa, chagua machaguo uyatakayo hapa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 4.70 kwa 1.73. Unangoja nini sasa?. Suka jamvi hapa.
Kwa upande wa AEK Larnaca wao watakuwa kibaruani kupepetana dhidi ya Legia Warszawa ya kule Poland. Nani kuanza vyema kwenye huu mkondo wa kwanza leo?. ODDS za kibabe zipo kwenye mechi hii ya leo huku nafasi ya kushinda anapewa mwenyeji kwa ODDS 2.34 kwa 3.00. Je wewe beti yako unaiweka wapi siku ya leo?. Tengeneza mkeka hapa.
Tusua mpunga mkubwa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
SC Braga atakuwa ugenini siku ya leo kusaka ushindi dhidi ya FC CFR 1907 Cluj ambao hawapewi nafasi ya kushinda mtanange wa leo kwani kwa wakali wa ubashiri wamepewa ODDS 4.50 kwa 1.87. Vilevile mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Unasubiri nini kuanza kutengeneza pesa zako hapa? Jisajili hapa.
Pia Hacken Gothenburg atamkaribisha kwake SK Brann huku mwenyeji yeye msimu uliopita alimaliza nafasi ya 10 huku mgeni wake akimaliza 3. Wamekutana kwenye mechi ya kwanza ya kufuzu kushiriki Europa League msimu ujao ambapo kila timu inataka kuonesha ubabe wake kwa mwenzake. 2.60 kwa 2.55 ndio ODDS za mechi hii. Weka jamvi lako na Meridianbet.
FC Shakhtar Donetsk atakuwa ugenini pia kukiwasha dhidi ya Panathinaikos Athens ya kule Ugiriki. Mwenyeji anatokea Ukrain huku kwenye mtanange huu wa leo nafasi ya kuondoka kifua mbele anapewa mgeni kwa ODDS 2.60 kwa 2.70. Jamvi lako unaliweka wapi siku ya leo?. Jisajili hapa.
Halikadhalika Servette Geneva atakipiga dhidi ya FC Utrecht ya kule Uholanzi huku mwenyeji wake akikipiga kule Uswizi. Unaweza ukaongezea mechi hii kwenye jamvi lako na ukaongeza uwezekano wa wewe kupiga mkwanja wa maana. Suka jamvi mechi hii kwa ODDS 3.25 kwa 2.10. Bashiri hapa.