
Wafugaji wahimizwa ufugaji wenye tija
Simiyu. Wafugaji nchini wametakiwa kuachana na ufugaji wa mazoea na kuanza kutumia mbinu za kisasa ili kukidhi mahitaji makubwa ya soko la nyama la ndani na nje ya nchi. Akizungumza leo Ijumaa, Agosti 8, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi alipotembelea banda la maonyesho ya mifugo la Halmashauri ya Wilaya ya Maswa…