Mzenji mikononi mwa Pamba Jiji

MABOSI wa Pamba Jiji wanasuka kikosi hicho kimyakimya ili kuongeza ushindani msimu ujao, ambapo wako katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa kati wa Singida Black Stars, Mukrim Issa ‘Miranda’ kwa mkopo. Nyota huyo kutoka Zanzibar msimu uliopita aliichezea Dodoma Jiji kwa mkopo pia akitokea Singida Black Stars, ambayo amebakisha nayo mkataba…

Read More

Ibenge aanza kuona mwanga Azam FC

KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, ameonyesha imani na kuvutiwa na kiwango cha nyota wa timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kombe la FA na mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ibenge alitoa kauli hiyo baada ya timu hiyo kushinda mabao 4-0 dhidi ya Arusha Combine katika mchezo wa kirafiki…

Read More

Taifa Stars kanyaga twen’zetu robo

HAKUNA kitu kingine kinachosubiriwa na mashabiki wa soka nchini, ila kusikia na kuiona timu ya taifa, Taifa Stars ikivuka hatua ya makundi na kutinga robo fainali ya michuano ya Ubingwa wa Nchi za Afrika (CHAN) 2024 kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania. Stars inayoongoza msimamo wa Kundi B ikiwa pia ndio wenyeji wa…

Read More

Kwa hizi mbinu za Folz, mjipange!

UNALIKUMBUKA balaa la Miguel Gamondi alipokuwa Yanga kwa aina ya soka lake lilivyotingisha kabla ya kuondoka? Jamaa alipotoka tu, akaingia Sead Ramovic akafanya balaa ndani ya muda mfupi na ile ‘gusa achia twende kwao’ kisha akasepa. Mashabiki wa Yanga wakawa na presha baada ya kuondoka Ramovic, lakini akatua Miloud Hamdi na balaa la Gusa Achia…

Read More

Droo CAF…Wapinzani Yanga, Simba ni hawa

DROO ya michuano ya kimataifa kwa ngazi za klabu kwa msimu wa 2025-26 inafanyika leo mchana jijini Dar es Salaam, huku Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana na miongoni mwa timu 16 katika hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa mujibu wa muongozo wa droo hiyo ambao Mwanaspoti limeunasa kutoka kwa mmoja wa maofisa…

Read More

Tshabalala amliza Mtunisia | Mwanaspoti

YANGA imemsajili na kumtambulisha beki wa kushoto wa zamani wa Kagera Sugar na Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, anayeendelea na majukumu ya kuitumikia timu ya taifa, Taifa Stars inayoshiriki michuano ya CHAN 2024, lakini kuna kocha mmoja ameshtushwa na usajili huo. Tshabalala aliyeitumikia Simba kwa misimu 11 tangu 2014 alipotua akitokea Kagera Sugar amepewa mkataba wa…

Read More

Sababu kipa Simba kutoenda kambini

KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa mazoezi kambini jijini Ismailia, Misri kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano, lakini kuna kipa mmoja wa timu hiyo yupo Dar es Salaam na mwenyewe amefunguka sababu zilizomfanya asiwepo kambini na wenzake. Kipa aliyekwama kuungana na wenzake kambini Misri ni Ally Salim ambaye amekuwa pia akiitumikia timu ya taifa,…

Read More