Kama kawaida siku chache zimebakia ligi mbalimbali kurejea huku zingine zikiwa tayari zimereja. Suka jamvi lako la ushindi kwenye mechi za kirafiki uweze kutusua na wakali wa ubashiri hapa.
Mapema kabisa Manchester United atakipiga dhidi ya ACF Fiorentina kutoka Italia ikiwa ni moja ya timu ambazo ni za daraja la kati. United wanaendelea kujifua kuendelea kutafauta pakurekebisha kwani ligi ikianza ana mechi ngumu za mwanzo. Meridianbet wamewapa vijana wa Amorim kushinda mechi ya leo kwa ODDS 1.44 kwa 6.00. Je wewe unampa ushindi nani leo?. Suka jamvi hapa.
Pia naye Union Berlin atamelta kwake Olympiacos ambao kushinda mechi hii ya leo wamepewa ODDS 2.35 kwa 2.65. Mwenyeji anakipiga kule Bundesliga na kila timu leo hii inataka ushindi kwani kutokana na usajili ambao timu zimefanya kila mchezaji anataka namba. Jisajili hapa.
Tusua mpunga mkubwa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Atalanta BC atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya FC Cologne ya kule Ujerumani ambao ni moja ya timu ngumu sana kupata matokeo. Mteja wa Meridianbet unaweza ukatimiza ndoto zako kwenye mitanange ya leo kwani ligi zinakaribia hivyo wachezaji wanajitoa haswa haswa. Mechi hii imepewa ODDS 3.60 kwa 1.78. Tengeneza jamvi hapa.
Halikadhalika West Ham United watatunishana mbavu dhidi ya Lille OSC ya kule Ufaransa. Mwenyeji yeye anakipiga kule Uingereza huku nafasi ya kuondoka kifua mbele pale kwa wakali wa ubashiri amepewa Wagonga Nyundo wa London kwa ODDS 2.38 kwa 2.55. Changamkia ODDS hizi sasa uibuke bingwa.
Nao AC Milan watasafiri kukiwasha dhidi ya Leeds United ambao wamepanda ligi kuu ya Uingereza msimu huu. Milan wataka akuanza msimu mzuri hivyo kucheza mechi za kirafiki na timu ambazo nazo zinashiri ligi kuu ni kipimo tosha hasa Leeds kwani wana uchu sana. Nani kuondoka na ushindi leo?. Suka jamvi lako mechi hii yenye ODDS 2.44 kwa 2.41.
Vilevile kwa upande wa Burnley ambao wamepanda daraja msimu huu watakuwa kibaruani leo dhidi ya Lazio Rome. Hii ni vita nyingine kali kati ya Mwingereza na Muitalia kwani kila mtu anataka kupata pointi 3. Na wewe mteja wa Meridianbet unaweza ukaondoka na mkwanja wako sasa. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.10 kwa 1.98.
Unaweza ukabashiri mechi nyingine yenye pesa kati ya Everton dhidi ya AS Roma huku odds za mechi hii zikiwa ni 2.70 kwa 2.22. Meridianbet wanakwambia hivi ongezea mechi hii kwenye mkeka wako uibuke na pesa kubwa zaidi. Je nani unamuamini kumpa pesa yako?. Tandika jamvi lako hapa.
Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid nao watajifua vikali dhidi ya Newcastle United ambao wapo chini ya kocha mkuu Eddie Howe. Newcastle wanatarajiwa kuanza ligi na timu ambayo ni ngumu pia hivyo mechi hizi ambazo wanacheza zinaenda kusaidia kwa namna moja au nyingine. 2.75 kwa 2.35 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.