Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele
akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha
Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya
Chama cha National
Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Hassan Kisabya Almas. Mgombea
huyo wa NRA aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Hamisi Ally Hassan (kushoto) alichukua fomu
hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka
huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na
INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Hassan Kisabya Almas (kulia) akiwa na Mgombea mwenza, Mhe. Hamisi Ally Hassan (kushoto) wakionesha mkoba ulio na fomu za uteuzi wa nafasi hizo waliokabidhiwa na Tume leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, akizungumza.
Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Hassan Kisabya Almas akisaini kitabu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Ramadhan Kailima, akizungumza.