Playsion Short Races, Mchezo Wa Ushindi, Zawadi Hadi Bilioni 6

Meridianbet imeleta tena moto kwenye kasino za mtandaoni kupitia Playson Short Races, mbio kali zinazowashangaza mashabiki wa michezo ya kubashiri Tanzania. Kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku, kila mzunguko unaoucheza unaweza kukupandisha kileleni na kukuweka kwenye njia ya ushindi wa mamilioni ya pesa taslimu.
Kwa kila siku, kunakua na mashindano 10 ya kasi yanayokupa nafasi ya kushinda sehemu ya kitita kikubwa kinachofika hadi TZS Bilioni 6 kila mwezi. Unahitaji dau dogo tu la kuanzia TZS 600 kwenye sloti yoyote ya Playson unayoshiriki na tayari unakua kwenye kinyanganyiro cha ubingwa.
Kila ushindi unaoupata basi unakupa pointi kwenye leaderboard. Kadri unavyopanda juu, ndivyo unavyozidi kuikaribia zawadi kubwa ya pesa halisi. Na kitu cha kuvutia zaidi kutoka Meridianbet ni kwamba washindi wote hulipwa ndani ya siku tatu tu baada ya mashindano kumalizika, moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Mashindano haya yameanza 9 Agosti na yataendelea hadi mwisho wa mwezi. Ni maalumu kwa wanaocheza kwa pesa halisi pekee, hivyo ni wakati wa kutumia nafasi hii, kusambaratisha wapinzani na kuondoka na ushindi mkubwa kila siku.
Wakati wa kuishi kibingwa ni sasa, fungua akaunti yako Meridianbet kupitia tovuti au app ya simu, anza kwa Tsh. 600/- na uwe sehemu ya washindi wa Playson Short Races.