
Sababu kifo cha Job Ndugai
Dar es Salaam. Katibu wa Bunge la Tanzania, Baraka Leonard amesema Spika mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amefariki dunia kutokana na shinikizo la damu kushuka, iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa. Ndugai alifariki dunia saa 9 alasiri ya Agosti 6, 2025 jijini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mfupi. Aliyewahi kuwa Spika wa…