Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele
akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha
Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya
Chama cha Makini (MAKINI), Mhe. Coster Jimmy Kibonde. Mgombea huyo wa MAKINI
aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.
Aziza Haji Suleiman (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025
ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi
mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Makini (MAKINI),
Mhe. Coster Jimmy Kibonde. Mgombea huyo wa MAKINI aliambatana na Mgombea
Mwenza, Mhe. Aziza Haji Suleiman
(kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya
uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg.
Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg. Ramadhani Kailima akizungumza
Mgombea akisaini kitabu
Mgombea Mwenza akisaini kitabu