
Clara Luvanga awa gumzo Hispania
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Clara Luvanga ameendelea kukiwasha akiwa na Al Nassr ya Saudia ambayo imeweka kambi huko Hispania kwa maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake. Huu ni msimu wa tatu wa Clara kuichezea timu hiyo na amekuwa mchezaji tegemeo kikosini akiipa ubingwa mara mbili mfululizo akifunga mabao 32. Sasa, wakati timu hiyo…