Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS) inawatangazia Watanzania wenye sifa stahiki kuwasilisha maombi ya kazi kwa ajili ya kujaza nafasi 195 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.
Waombaji wanapaswa kufuata miongozo yote iliyoainishwa katika tangazo rasmi na kuwasilisha maombi yao kabla ya tarehe 22 Agosti, 2025. Nafasi hizo zimetangazwa;-
-
Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Wizara ya Mambo ya Ndani
-
Mamlaka ya Kitambulisho Taifa (NIDA)
-
Wakala wa Huduma za Umeme, Mitambo na Vifaa vya Elektroniki (TEMESA)
-
Shirika la Wakala za Usafirishaji Tanzania (TASAC)
-
Shirika la Posta Tanzania (TPC)
-
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI)
-
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
-
Tume ya Nishati Atomiki Tanzania (TAEC)
Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa, vigezo na taratibu za kuomba tafadhali angalia BONYEZA HAPA >>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA