
Simba yamvizia kiungo wa Stars
KAMA ulidhania Simba imefumba jicho la usajili basi umekosea, licha ya kwenda Misri kujiandaa kwa msimu mpya wa mashindano ya msimu ujao wa 2025-26, lakini mabosi wa klabu hiyo wanaendelea kusaka vyuma na sasa inadaiwa wametua KMC wakitaka kiungo mkabaji aliyepo Taifa Stars. Simba imeweka kambi katika jijini la Ismailia ikiwa inaingia wiki ya pili…