MBODO AKUTANA NA POSTAMASTA WAKUU WASTAAFU KUBADILISHANA UZOEFU ILI KUIMARISHA POSTA

Postamasta Mkuu Bw. Macrice Mbodo, amekutana na Mapostamasta Wakuu Wastaafu katika kikao maalum kilicholenga kubadilishana uzoefu juu ya namna ya kuendelea kuboresha huduma za Posta nchini. Kikao hicho, kilichofanyika leo tarehe 13 Agosti, 2025 Makao Makuu ya Posta jijini Dar es Salaam, Bw. Mbodo amesisitiza umuhimu wa kuheshimu na kuenzi historia na mchango wa Viongozi…

Read More

Vigogo EAC, SADC wakutana kujadili amani DR Congo

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliyofanyika kwa njia ya mtandao leo Jumatano, Agosti 13, 2025 ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania…

Read More

Mwenge wa Uhuru kuzindua miradi ya Sh26.5 bilioni Mara

Musoma. Zaidi ya miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya Sh26.54 bilioni inatarajiwa kutembelewa, kukaguliwa na kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru mwaka huu mkoani Mara, kuanzia Agosti 15 hadi 23, 2025. Akizungumza leo Jumatano, Agosti 13, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi amesema maandalizi yote yamekamilika na mwenge huo utapita katika halmashauri…

Read More

‘Sasisho jipya la ya ChatGPT linafikiria zaidi’

Dar es Salaam. Kampuni ya teknolojia ya OpenAI, inayomiliki programu ya akili unde Chatbot ya ChatGPT imekuja na sasisho jipya (New Update) lenye kipengele chenye uwezo wa kufikiri pia kufanya vitendo kwa niaba ya mtumiaji.  Kupitia toleo hilo jipya watumiaji sasa wanaweza kuitegemea katika kufikiri na kuchukua hatua ikiwa ni sehemu ya kusaidia watu sehemu…

Read More

TIRA NA CRDB KUNEEMESHA SEKTA YA KILIMO

:::::::::: Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) na Benki ya CRDB zakubaliana kukamilisha uandaaji wa Kanuni za Bima ya Kilimo pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu wanaohusika katika kuendesha bima hizo nchini ili kuleta neema na mustakabali mzuri wa sekta ya kilimo.  Hayo yameafikiwa Agosti 11, 2025 kwenye Kikao maalumu baina ya Kamishna wa Bima…

Read More