CUF WAMTUMA GOMBO KUCHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS UCHAGUZI MKUU 2025

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo na Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla wakionesha mkoba wa fomu baada ya kukabidhiwa na Tume leo Agosti 13, 2025.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo
Samandito Gombo. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Husna
Mohamed Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 13, 2025 ambapo Tume
inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi
wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima.  (Picha na INEC).

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akimuelekeza namna ya kujaza kitabu Mgombea wa kiti cha Rais kutoka Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo.

Mgombea wa kiti cha Rais kutoka Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo akijaza kitabu kuonesha amekabidhiwa fomu hizo. 

Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla akaisaini kitabu.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele  akizungumza.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Kailima Ramadhani akizungumza wakati wa utoaji huo wa fomu.

Mgombea wa kiti cha Rais kutoka Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo.

Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele  akizungumza.


Wanachama wa CUF wakiwa ukumbini kushuhudia utoaji wa fomu za uteuzi kwa wagombea wa chama chao.