WAGOMBEA WA NAFASI YA RAIS NA MAKAMU WA RAIS KWA Chama cha CCK WACHUKUA FOMU

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii 
(CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele. Mgombea
huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.
 
Masoud Ali Abdala (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 12, 2025
ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.
(Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii  (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele. Mgombea
huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. 
Masoud Ali Abdala (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 12, 2025
ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. 
(Picha na INEC).

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima kizungumza.

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii  (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele

Mgombea Mwenza, Mhe.  Masoud Ali Abdala

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Kijamii  (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele akiwana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Masoud Ali Abdala (kushoto)

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Kijamii  (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele akielekezwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg Ramadhani Kailima namna ya kujaza kitabu.

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Kijamii  (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele akisaini kitabu.

Mgombea Mwenza, Mhe.  Masoud Ali Abdala akisaini kitabu.


Wajumbe wa Tume pamoja na Menejiment wakiwa katika zoezi la utoaji fomu.

Wanachama wa CCK wakiwa katika utoaji fomu.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.