
CHAN 2024: Guinea, Algeria ngoja tuone
FAINALI za CHAN 2024 zinaingia wiki ya pili leo Ijuma tangu zilipoanza rasmi Agosti 2 na zitapigwa mechi mbili za Kundi C, mapema saa 11:00 jioni Guinea itavaana an Algeria, huku usiku ni zamu ya Niger itakayoumana na Afrika Kusini kila timu ikisaka ushindi muhimu. Kundi hilo linalocheza mechi zake kwenye Uwanja wa Nelson Mandela,…