Ligi Zimerejea, Vuna Pesa na Meridianbet Sasa – Global Publishers


Baada ya heka heka za miezi miwili na siku chache hatimaye sasa ligi zimerejea na wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa huu ndio msimu wako wa kutamba kwani tayari wamekuandalia ODDS za kibabe. Suka jamvi lako na uanze safari ya ushindi hapa.

Kivumbi cha  LALIGA leo ni Girona ambaye yeye atakuwa nyumbani pia kupepetana dhidi ya Rayo Vallecano ambapo msimu uliopita mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili, Vallecano aliondoka na ushindi hivyo mwenyeji leo hii anataka kulipa kisasi akiwa kwake. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.34 kwa 3.30. Wewe jamvi lako unaliweka wpai hapa?. Bashiri sasa.

Wakati pale baadae kutakuwa na mtanange wa  Villarreal vs Real Oviedo ambao ndio wamepanda daraja msimu huu. Nyambizi wa Njano msimu uliopita walimaliza nafasi ya 5 baada ya kukusanya pointi zao sabini kwenye mechi 38 ambazo walicheza. Mechi hii pale Meridianbet imepewa ODDS 1.42 kwa 8.00, lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mtanange huu. Tengeneza jamvi hapa.

Mpunga wa uhakika upo hapa  kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Wakati ligi pendwa Duniani yaani EPL, bingwa mtetezi Liverpool atakuwa nyumbani pale Anfield kukiwasha dhidi ya AFC Bournemouth ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda leo wakiwa na ODDS 8.00 kwa 1.34. Ikumbukwe kuwa vijana hawa wa Arne Slot wametoka kupoteza Ngao ya Jamii hivyo ushindi wa leo ni muhimu ili kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa. Je Jogoo wa Anfield ataanzaje ligi kutoka na usajili ambao amefanya wa kina Wirtz, Frimpong, Ekitike na wengine kibao?. Jisajili hapa.

Vilevile kule Ufaransa LIGUE 1 nayo itaanza kurindima siku ya leo kati ya mchezo mkali kabisa wa Stade Rennes dhidi ya Olympique Marseille ambao walimaliza nafasi ya 2 wakati kwa wenyeji wao walimaliza nafasi ya 12. Kila mmoja anataka aanze ligi na ushindi mnono wakati takwimu zinaonesha kuwa msimu uliopita walipokutana, Marseille aliondoka na ushindi mechi zote. Je mwenyeji atalipa kisasi leo?. Beti sasa.

Kule Uholanzi Eredivisie itaendelea kwa mechi za raundi ya pili ambapo leo hii SC Telstar atamenyana vikali dhidi ya PEC Zwolle. Mwenyeji alichapika mechi yake ya kwanza ya ufunguzi wa ligi, huku kwa upande wa mgeni yeye akishinda. Je nani kuondoka na pointi 3?. Mechi hii ina ODDS 2.65 kwa 2.55. Suka jamvi hapa.

Pia ligi kuu ya Uturuki, SUPER LIG kuna mechi moja ya bingwa mtetezi wa ligi Galatasaray Instanbul dhidi ya Fatih Karagumruk Instanbul ambao hawapewi nafasi ya ushindi ndani ya Meridianbet siku ya leo. Bingwa mtetezi kushinda mechi ya leo nyumbani amepewa ODDS 1.18 kwa 14. Pesa yako unampa nani leo?. Bashiri hapa.