Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and
Transparency (ACT – Wazalendo), Mhe. Luhaga Joelson Mpina. Alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi
Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Chama cha Alliance for
Change anTransparency (ACT – Wazalendo), Mhe. Mhe. Luhaga Joelson Mpina.
Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej
(kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya
uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg.
Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ndg. Kailima Ramadhani akimuelekeza mgombea namna ya kujaza kitabu cha wachukua fomu.
Wanachama wa chama cha ACT Wazalendo waliohudhurio utoaji fomu wakiwa ukumbini.