
Dk Mpango awaalika SADC kutuma timu ya uangalizi wa uchaguzi
Madagascar. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Isdor Mpango amesema kuwa maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania na kutoa mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dk Mpango ametoa wito huo wakati anasoma hotuba ya…