
IDADI YA WAGONJWA WA UTALII TIBA YAONGEZEKA MARA MBILI, YAINGIZA BILIONI 116
Idadi ya watalii wa matibabu wanaokuja nchini imeongezeka mara mbili kati ya mwaka 2021 hadi 2025, hatua iliyochangia kuingiza Shilingi bilioni 116.5 katika pato la taifa, kutokana na ongezeko la asilimia 19 katika sekta ya utalii tiba. Takwimu hizo zilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Diplomasia kutoka Wizara ya Mambo ya Nje,…