
Hatima kifungo Chadema leo, Lissu akisomewa ushahidi wa uhaini
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikitarajia kusomewa uamuzi wa maombi yao ya kufunguliwa kifungo cha zuio la kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali zake, Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anatarajiwa kusomewa ushahidi wa kesi ya uhaini inayomkabili. Matukio hayo mawili yanatarajiwa kufanyika leo, Agosti 18, 2025 kutokana na kesi…