Wiki Yako ni Nzuri Ukianza Kusuka Jamvi na Meridianbet

BAADA ya wikendi kushuhudia mitanange kibao ya ligi mbalimbali ambazo zimerejea pia leo hii ni siku nyingine ya wewe kupasua kijanja na wakali hawa wa ubashiri. ODDS kibao zipo na wewe unachotakiwa ni kutengeneza jamvi lako la uhakika hapa.
Pale EPL leo hii kuna mechi kali kabisa kati ya Leeds United vs Everton ambapo mwenyeji yeye amepanda daraja msimu huu hivyo anataka kuonesha makali yake. The Toffees kwa upande wao nao wanataka ushindi huu siku ya leo. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 amepewa Leeds kwa ODDS 2.35 kwa 3.25. Je wewe unampa nani nafasi ya kuondoka na ushindi siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Kwa upande wa Hispania napo LALIGA inatarajiwa kuendelea leo hii majira ya saa 4:00 usiku, kwani Elche CF atamleta kwake Real Betis ambao ni wanafainali wa Conference League. Betis chini ya kocha mkuu Manuel Pellegrin ndio wanaopewa nafasi ya kushinda mechi hii wakiwa na ODDS 2.30 kwa 3.35. Je pesa yako unaiweka kwa nani Jumatatu ya leo?. Jisajili hapa.
Mpunga wa uhakika upo hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
DFB Pokal kule Ujerumani nako itaendelea ambapo FSV Mainz atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Dynamo Dresden ambao watakipiga kule Bundesliga 2, wakati kwa upande wa Mainz wao wanacheza ligi kuu Bundesliga. Hivyo ni kali kabisa leo kati ya timu ya ligi kuu na timu ya daraja la kwanza. Mechi hii imepewa ODDS 4.10 kwa 1.80. Bashiri hapa.
Mechi nyingi ni hii ya SC Preussen 06 Munster dhidi ya Hertha Berlin ambao wao wanacheza Bundesliga 2. Mwenyeji yeye anashiriki pia Bundesliga 2 kule Ujerumani na leo hii kwa wakali wa ubashiri Meridianbet hapewi nafasi kubwa ya kushinda kwani ana ODDS 3.35 kwa 2.10. Wewe unampa nani ushindi siku ya leo?. Suka jamvi lako hapa.
Wakati ifikapo saa 3:45 usiku Borussia Dortmund atasafiri kukichapa dhidi ya Rot-Weis Essen, kila timu inahitaji ushindi leo kusonga mbele kwenye hatua inayofuata kwenye mashindnao haya ya Kombe la Ujerumani. Bashiri mechi hii yenye ODDS 12 kwa 1.20 ndani ya Meridianbet.
Kule Uturuki, SUPER LIG inaendelea kwa mechi moja kati ya Kasimpasa Instanbul vs Trabzonspor huku mechi ya mwisho kukutana walitoa sare. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?. Mtanange huu umepewa ODDS 2.70 kwa 2.50. Beti hapa.
Vilevile kule Ureno kuna mechi moja kali pia ya kubashiri kati ya FC Porto ambao watakuwa ugenini dhidi ya Gil Vicente Barcelos ambao kushinda mechi hii wakiwa nyumbani wamepewa ODDS 6.80 kwa 1.45. Mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana Porto aliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi?. Suka jamvi hapa.