Unavyoweza kuchochea udadisi, ubunifu kwa mtoto

Dar es Salaam. Katika dunia inayobadilika kwa kasi, watoto wanahitaji zaidi ya maarifa ya darasani ili kufanikiwa.  Wanahitaji kuwa wabunifu, wadadisi, na wenye uwezo wa kufikiri kwa kina na kwa njia tofauti.  Udadisi humwezesha mtoto kuuliza maswali, kuchunguza, na kutafuta maarifa zaidi; huku ubunifu ukimpa uwezo wa kutatua changamoto, kuunda mawazo mapya, na kuona fursa…

Read More

Fani za kulazimisha zinavyotesa wanafunzi

Dar es Salaam. Uzoefu unaonyesha  kuwa wanafunzi wengi katika ngazi mbalimbali za elimu, wanahitimu  bila kuwa na mwelekeo thabiti wa taaluma wanayotamani kuifuata.  Wakiwa wamezingirwa na presha za mitihani, matarajio ya wazazi, na soko la ajira linalobadilika kila uchao, vijana hawa hujikuta wakifanya uamuzi wa taaluma usioendana na vipaji, shauku wala ndoto zao. Takwimu kwa…

Read More

CAF yaandaa mdahalo wa kiufundi, Mirambo ndani 

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetangaza litakuwa na mdahalo wa kiufundi juu ya mashindano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 yanayoendelea Afrika Mashariki, kitakachofanyika jijini Nairobi, Kenya, kesho Jumatano. Kikao hicho kitahusisha  wanachama maalum wa Technical Study Group (TSG) wa CAF, ambao watajadili kwa kina mwenendo wa kiufundi wa…

Read More

CHAN 2024: Sudan, Senegal kazi ipo Amaan Complex

HATUA ya makundi ya michuano ya CHAN 2024 inafikia tamati usiku wa leo Jumanne kwenye viwanja viwili tofauti, jijini Dar es Salaam na visiwani hapa wakati timu nne za Kundi D zitapepetana kusaka nafasi mbili za mwisho za kutinga robo fainali. Jijini Dar es Salaam, Nigeria iliyoaga mapema michuano hiyo kwa kupoteza mechi mbili za…

Read More

Mrithi wa Mligo Namungo afunguka

BAADA ya Namungo FC kuinasa saini ya beki wa kushoto wa KVZ, Ally Saleh Machupa kuziba nafasi iliyoachwa na Anthony Mligo, beki huyo mpya amefunguka matarajio aliyonayo katika maisha mapya Ligi Kuu Bara. Machupa anakuwa mchezaji wa pili kutoka KVZ kutua Namungo kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa baada ya hivi karibuni kipa tegemeo Suleiman Abraham…

Read More

Benchikha alivyopita na beki kisiki Simba

WAKATI Simba ikimnasa nyota kiraka Naby Camara kutoka Guinea na wakali wengine wakiendelea kujifua huko Cairo, Misri, Mwanaspoti limedondoshewa faili la siri namna beki kitasa wa Wekundu hao alivyopitiwa na aliyekuwa kocha mkuu wa zamani wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha. Benchikha aliwahi kuinoa Simba kwa kipindi kifupi misimu miwili iliyopita kabla ya kuondoka mara baada…

Read More