
Nondo 7 za Stars kuiondosha Morocco CHAN 2024
KUFUATIA Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, mjadala umeibuka kuhusu kikosi hicho kinakwenda kuikabili vipi Morocco ili kutinga nusu fainali. Mjadala uliofanyika leo Agosti 20, 2025 kwenye Mwananchi X Space wenye mada isemayo; ‘CHAN 2024 ipo robo fainali, nini kifanyike…