
Yanga, Simba zachomoa tena Kagame Cup 2025
WAKATI Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) likitangaza timu 12 zitashiriki mashindano ya Kombe la Kagame 2025 zikiwemo Yanga na Simba, wakongwe hao wa soka la Tanzania wameamua kujiweka pembeni huku sababu za kufanya hivyo zikitajwa. Uamuzi wa timu hizo kujiweka pembeni umetajwa ni kutokana na ratiba kuwabana kufuatia…