
Frank Assinki asaini mwaka mmoja Yanga
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua jijini Dar es Salaam, huku kambi ikipokea ujio wa beki mpya kutoka Ghana, ambaye amepewa mkataba wa mwaka mmoja na tayari ameanza kufanya mambo chini ya kocha Romain Folz. Yanga inajiandaa na mechi za msimu mpya wa 2025-26 ikiwania kutetea mataji matatu kwa mpigo, Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara…