MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars, Clement Mzize amesema hana jambo kubwa analolitazama kwa sasa zaidi ya kupambana kwa nguvu zote ili kuhakikisha Watanzania wanapata furaha kwenye robo fainali ya michuano ya CHAN dhidi ya Morocco itakayopigwa leo jijini Dar es Salaam.
Mzize: Hao Morocco? Tunao Kwa Mkapa!
