Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM – Global Publishers

Dodoma, Agosti 23, 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma.

Kikao hicho kilijumuisha viongozi wakuu wa chama na kililenga kushughulikia masuala muhimu ya kitaifa na ya ndani ya chama.