TMA FC yaanza na straika


KIKOSI cha TMA cha Arusha kipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Bigman, Arafat Adam baada ya mkataba wake na timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Champioship kufikia ukomo msimu uliopita.chukua nafasi ya aliyekuwa nyota wa timu hiyo, Ramadhan Kapera ambaye amekamilisha uhamisho wa kurejea Polisi Tanzania.