
Naisae Yona Atwaa Taji la Miss Universe Tanzania 2025
Humphrey Shao, Michuzi tv Mrembo Naisae Yona (28) amefanikiwa kutwaa taji la Miss Universe Tanzania 2025 mara baada ya kuwashinda warembo wengine 15 waliokuwa wakichuana naye. Mashindano hayo yalifikia kilele usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Super Dome Masaki, jijini Dar es Salaam, ambapo Naisae aliibuka mshindi wa jumla na kupewa heshima ya kupeperusha…