
CHAN 2024: Sudan, Algeria vita ilikuwa kati
WANAUME 22 kutoka Sudan na Algeria, walizimwagilia vizuri nyasi za Uwanja wa Amaan Complex, visiwani Zanzibar katika mchezo wa robo fainali wa michuano ya CHAN uliopigwa juzi. Katika mchezo huo ambao dakika 120 zilimalizika kwa timu zote kutoshana nguvu ya kufungana bao 1-1, vita kubwa ilionekana eneo la kati ambalo kwa kiasi kikubwa liliamua mechi…