CHAN 2024: Morocco yaivua ubingwa Senegal
MABINGWA wa kihistoria wa Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, Morocco wamefuzu fainali ya michuano hiyo kwa kuivua ubingwa Senegal. Katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo Agosti 26, 2025 kwenye Uwanja wa Mandela uliopo Kampala nchini Uganda, mikwaju ya penalti 5-3 imetosha kuifanya Morocco kuwa mbabe mbele ya Senegal, timu iliyokuwa…