
NIKWAMBIE MAMA: Malalamiko haya yamalizwe mapema
Malalamiko ni silika ya kawaida kwa mwanadamu yeyote. Pale anapoguswa na hali isiyompendeza, mtu hataacha kulalamika hata iwe kwenye mambo madogo kiasi gani. Mmoja atalalamikia uhuru na haki zake, lakini mwingine atalalamika hata aking’atwa na mbu. Wataalamu wanasema malalamiko ni dawa ya kuepusha msongo, ni mbaya sana kuishi na vijiba rohoni. Malalamiko yanataka kufanana kidogo…