………….
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itamkabidhi kila mgombea atakaetimiza vigezo na kutangazwa kuwa mgombea Urais wa chama cha siasa kitakacho shiriki Uchaguzi Mkuu 2025, gari hili aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer
Magari hayo yanatolewa kwa wagombea Urais pekee, pamoja na Dereva kwa ajili ya kumuwezesha Mgombea Urais kusafiri na kufika popote pale atakapohitaji kufika kwa ajili ya kurahisisha shuguli zake za kufanya Kampeni na kuomba kura kwa wananchi.