JUMATANO ya kibabe hii hapa ambapo leo ni siku ya kupiga mkwanja wa maana na wakali wa ubashiri Meridianbet kwani mechi nyingi za kukupatia pesa zipo. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo.
Mechi za Carabao leo hii Everton atamleta kwake Mansfield Town ambao wanakipiga League One kule Uingereza. Everton wao wapo EPL huku wakiwa wameshinda mechi moja na kupoteza moja. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.23 kwa 12, lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii. Bashiri hapa.
Nao Fulham baada ya kutoa sare mechi yao ya ligi iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kusaka nafasi ya kwenda mbele dhidi ya Bristol City ambao wao wanacheza ligi daraja la kwanza pale Uingereza, yaani Championship. Timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni msimu wa 2022 ambapo mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii kwa ODDS ya 1.45 kwa 7.00 nani kuondoka na pointi 3?. Suka jamvi hapa.
Wakati huo huo Brighton & Hove Albion watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Oxford United ambao hawapewi nafasi kubwa ya ushindi siku ya leo wakiwa na ODDS 8.00 kwa 1.35. Meridianbet wanakwambia kuwa kupitia mechi hii unaweza ukabadilisha maisha yako sasa. Unangoja nini?. Bashiri na mabingwa hapa.
Mpunga mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Vijana wa Ruben Amorim Manchester United wao watakuwa wageni wa Grimsby Town ambao wapo League Two kule Uingereza, wakati United wao wakiwa wameanza ligi vibaya kwenye mechi mbili wakiwa na pointi moja pekee. Meridianbet wanawapa Mashetani Wekundu nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.14 kwa 18.00. Wewe beti yako unaiweka kwa nani leo?. Jisajili hapa.
Ukiachana na Carabao Cup, pia leo hii mechi za kufuzu Ligi ya Mabingwa mechi za mwisho kupigwa leo Qarabag FK atamenyana dhidi ya Ferencvarosi Budapest ya Hungary huku mwenyeji yeye akiwa anakipiga kule Azerbaijan. Nafasi ya kushinda siku ya leo amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.30 kwa 3.00. Wewe unampa nani leo?
Club Brugge atakiwasha dhidi ya Glasgow Rangers ambapo kwenye mechi ya kwanza walipokutana mwenyeji aliondoka na ushindi mnono, hivyo leo hii mgeni anataka kufanya Comeback kwani mlima ni 3-1. Je leo hii nani ataondoka na ushindi mkali? Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.60 kwa 5.00.
Mourinho na vijana wake Fenerbahce Instanbul watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya SL Benfica ambao ndio wanapewa nafasi ya kushinda mechi hii ya leo. Ikumbukwe kuwa mtanange wa kwanza kukutana, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 1.62 kwa 5.20.
Nyasi zitawaka moto mechi ya FC Copenhagen vs FC Basel 1893 ambapo mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare ya kufungana bao 1-1. Kila timu inahitaji ushindi mkubwa siku ya leo. 1.68 kwa 4.80 ndio ODDS za ushindi za hawa wawili. Beti yako unaiweka wapi?. Suka jamvi hapa.