DK.SAMIA ATAJA VIPAUMBELE 100 ATAKAYOANZA NAVYO KATIKA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA
*Asema atapiga marufuku hospitali zote nchini kuzuia miili ya marehemu inayodaiwa *Kuanzisha gridi ya maji ya Taifa kwa ajili ya kuwa na vyanzo by uhakika vya maji *Aahidi kuendeleza mashauriano na wadau kwa lengo la kufanikisha Katiba Mpya Na Said Mwishehe,Michuzi TV MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameeleza…