Watu Wenye Ulemavu wa Macho Wafikiwa na Meridianbet

LEO hii tarehe 29 ya mwezi wa 8 Kampuni kubwa ya ubashiri Meridianbet, katika mwendelezo wake wa kurejesha kwenye jamii iliamua kuwatembelea watu wenye ulemavu wa macho na kuwapatia msaada wa White Cane ( Fimbo za kutembelea) ambazo hizi zitawasaidia kwenye maisha yao ya kila siku.
Ikiwa ni jitihada za Kampuni hii kuijali jamii yake yaani watu ambao wanawazunguka waliona kuna haja ya kuwafikia watu hao ambao wanapatikana Kinondoni Manyanya na kuwapatia Fimbo za kutembelea maarufu kama (White Cane).
Meridianbet inasema kuwa msaada huu umelenga kuimarisha usalama, heshima na uhuru wa watu wenye ulemavu wa kuona, huku ukionesha dhamira ya Meridianbet katika kujali makundi maalumu ndani ya jamii. White Cane ni nyenzo muhimu inayowawezesha watu wasioona kusafiri kwa ujasiri, kufanya shughuli za kila siku kwa urahisi zaidi na kushiriki kikamilifu kwenye maisha ya kijamii na kiuchumi.
Leo hii tengeneza pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Msafara huu wa kwenda mpaka Kinondoni Manyanya uliongozwa na Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram ambaye baada ya kufika tuu aliweza kupokelewa vizuri yeye na jopo lake lote huku nyuso za watu hao zikionekana kuwa na tabasamu baada ya kusikia ujio wa Meridianbet kwani hii ilionyesha kuwa nao wana umuhimu mkubwa katika jamii licha ya changamoto ambayo inawakabili.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, mwakilishi wa Meridianbet alisema: “Meridianbet tunaamini katika falsafa ya ‘Kurudisha kwa Jamii’. Leo tumegusa maisha ya ndugu zetu wenye changamoto ya kuona kwa kuwapatia fimbo za kutembelea. Tunataka waone thamani yao ndani ya jamii na waendelee kufanya shughuli zao kwa uhuru na usalama zaidi. Hii ni sehemu tu ya safari yetu ya kushirikiana na Watanzania katika kujenga jamii yenye mshikamano, upendo na fursa sawa kwa wote.”
Baada ya kupokea msaada huo kutoka Meridianbet, viongozi wa chama cha watu wasioona walitoa shukrani zao kwa mchango huu wa kipekee, wakisisitiza kuwa msaada wa aina hii ni zaidi ya kifaa cha msaada ni mwanga wa matumaini na faraja katika maisha yao, lakini pia waliwasisitiza Meridianbet kurejea tena kwa kutoa msaada wa vitu vingine ikiwemo mahitaji maalumu ya nyumbani na mengine mengi.
Meridianbet itaendelea kugusa maisha ya watu mbalimbali wenye uhitaji kwenye sekta mbalimbali ikiwemo afya, elimu na mengine kibao. Pia watu wengine wanahitaji kuiga mfano wa kampuni hii kubwa Tanzania kwani kutoa ni moyo si utajiri.
Mechi kibao kuendelea siku ya leo huku Meridianbet wakikwambia kuwa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Unangoja nini?. Jisajili hapa na ubashiri leo.