RAIS SAMIA KUA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA WIKI YA USAFIRI ENDELEVU
::::::: Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha wiki ya maadhimisho ya usafiri endelevu ardhini, yatakayofanyika Novemba 26, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yanaratibiwa na Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri…