
CHAUMMA, CUF na AAFP Kuzindua Kampeni leo Sehemu Tofauti Nchini – Global Publishers
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo, tarehe 31 Agosti 2025, kinatarajia kuzindua rasmi kampeni za mgombea wake wa urais, Salum Mwalimu, pamoja na mgombea mwenza wake Devotha Minja, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema, uzinduzi huo utafanyika katika Viwanja vya Kinondoni…