Bado Watatu – 14


Hebu fikiria kuwa wewe ni mpelelezi. Kuna mtu amenyongwa na wasiojulikana, lakini aliyenyongwa siku hiyo, ndiye yule ambaye alishanyongwa hadi akafa miaka miwili iliyopita kwa hukumu ya mahakama kutokana na kosa la kuua! Uchunguzi wa polisi unaonyesha kuwa mtu aliyegunduliwa amemnyonga mwenzake naye alishauawa kwa kunyongwa miaka miwili ilipita!