
Mgambo waaswa kuwa nguzo ya kulinda amani
Morogoro. Askari wa Jeshi la Akiba (Mgambo) kundi la 64/2025 wametakiwa kuchukia na kupinga vitendo vyote vyenye dalili za kuhatarisha amani ya Taifa, huku wakiwa mstari wa mbele kuhubiri mshikamano wa kitaifa. Akizungumza leo Agosti 18, 2025 kwenye hafla ya kuhitimisha mafunzo hayo yaliyoshirikisha wahitimu 89, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala amesema vijana…