
CHAN 2024: Mechi 32 mabao 66, Mmoroco akimbiza
KABLA ya mechi mbili za jana za Kundi C, rekodi zilikuwa zikionyesha jumla ya mabao 66 yametinga wavuni kupitia mechi 32, huku mshambuliaji Oussama Lamlioui akiongoza orodha ya wafungaji akiwaburuza wachezaji wa timu nyingine 18 zinazoshiriki CHAN 2024. Michuano hiyo ya CHAN ilianza rasmi Agosti 2 na inatarajiwa kufikia tamati Agosti 30 na bingwa atafahamika,…