
10 mbaroni wakidaiwa kupanga njama za uhalifu
Kibaha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watu 10 wanaodaiwa kupanga njama za kufanya uhalifu katika Wilaya ya Kibaha, kufuatia taarifa za kiintelijensia zilizopatikana Jumamosi Agosti 16, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase leo Jumatatu Agosti 18, 2025, hatua hiyo ilichukuliwa baada ya jeshi hilo kupata fununu za…