
Aisha Masaka kutimkia Hispania | Mwanaspoti
Mshambuliaji wa Brighton, Aisha Masaka huenda akatolewa kwa mkopo au kuuzwa moja kwa moja katika moja ya timu za Ligi Kuu ya Wanawake Hispania msimu ujao kama watafikia makubaliano ya ofa. Mwanaspoti inafahamu mshambuliaji huyo wa timu ya taifa, Twiga Stars, amebakiza mkataba wa mwaka mmoja England kati ya miwili na utamalizika mwishoni mwa msimu…