Vipindi muhimu vya UN vinahitaji azimio la amani, wakati Trump na Putin wanajiandaa kukutana kwenye Ukraine – Maswala ya Ulimwenguni

UN inasisitiza kwamba juhudi zozote za amani au mpango lazima ziendane na kanuni za Charter ya UNpamoja na heshima kwa uhuru wa Ukraine na uadilifu wa eneo. Akiongea na waandishi wa habari Alhamisi, msemaji wa UN Stéphane Dujarric alikaribisha “mazungumzo katika kiwango cha juu” kati ya washiriki wawili wa kudumu wa Baraza la Usalama. Mkutano…

Read More

Wakulima wachangamkia kilimo cha tumbaku Ruvuma

Namtumbo. Wakulima wa zao la tumbaku kupitia Chama cha Msingi Namkeke, wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, wameanza kufufua kilimo hicho baada ya kupata mnunuzi mpya anayenunua tumbaku kwa bei nzuri na kulipa kwa wakati. Hatua hiyo imeleta matumaini mapya kwa wakulima waliokuwa wamesitisha uzalishaji kwa muda mrefu kutokana na changamoto mbalimbali. Kupitia ushirikiano huo, wakulima wameanza…

Read More

Maximo atumia dakika 120 kuwabana maafande

DAKIKA 120 zimetosha kwa kocha mpya wa KMC, Mbrazili Marcio Maximo kupima kikosi chake baada ya mazoezi ya wiki mbili kwa kulazimishwa sare ya 1-1 na maafande wa KMKM,  lakini akiwa na kazi kubwa ya kufanya kwa safu ya ushambuliaji ya timu hiyo. Timu hizo imecheza dakika 120 zote zikibadili wachezaji kwa ajili ya kutoa…

Read More

Tanzania kuongeza wataalamu kupambana na wadukuzi mtandaoni

Dar es Salaam. Matumizi hasi ya akili unde (AI), mashambulizi ya kimtandao, usalama pamoja na ujenzi wa uchumi wa kidijitali ni miongoni mwa mambo yaliyoing’ata sikio Serikali kupitia Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), kuwanoa wataalamu wa Kitanzania katika sekta hiyo. Katika zama hizi za teknolojia hasa ya akili unde, kumekuwa na matumizi…

Read More

Wengine wawili watolewa wakiwa wamekufa, ajali ya mgodini

Shinyanga. Chifu Inspekta wa mgodi unaomilikiwa na Kikundi cha Wachapakazi, Fikiri Mnwagi, amethibitisha kuopolewa kwa miili ya watu wawili waliopoteza maisha kwenye ajali ya mgodi iliyotokea katika kijiji cha Mwongozo, Kata ya Mwenge, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Akizungumza leo Agosti 17, 2025, na waandishi wa habari akiwa eneo la tukio, Mnwagi amesema shughuli ya…

Read More

Zaka yatajwa nyenzo muhimu ya kupambana na umaskini

Dar es Salaam. Zaka imetajwa kuwa ni miongoni mwa nyenzo muhimu za kupunguza umaskini nchini kupitia uwezeshaji wa mitaji kwa wananchi wanaohitaji kuanzisha shughuli za kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa na Sheikh Ibrahim Ghulam, Mwenyekiti wa Bodi ya Baytul-Mal (Mfuko wa Zaka), katika hafla ya ugawaji msaada wa zaka kwa walengwa 20 jijini Dar es Salaam….

Read More